JK AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA GATES FOUNDATION YA MAREKANI

Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Naibu
Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani, Haddis
Tadesse, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016. (Picha na
Bashir Nkoromo).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni