Jumatano, 7 Oktoba 2015
DKT.KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA MABALOZI.
Balozi mteule wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe. Paul Cartier akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete mapema leo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi mteule wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Felix Costales akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi mteule wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricio Clemente akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni