Jumatatu, 20 Juni 2016

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI LEO

bue1 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, bungeni mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
bue2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Bernadeta Mushashu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
bue3 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano  na Mazingira   Luhaga  Jaelson  Mpina  kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Juni 20, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
bue4 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni