MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA MAKAMPUNI YA POLYTRA INTERNATIONAL NA IMPALA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bw. Jaskaran Chugh ambaye ni
Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Polytra International yenye Makao yake
nchini Ubelgiji (katikati) na Bw. Mark Lemki wa Kampuni ya Impala ya
Switzerland, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni