Baraza la Tiba asili na tiba mbadala Zanzibar lafanya ziara ya kushtukiza kliniki na Maduka ya dawa asili

Mmiliki wa kliniki ya ‘Madawa
Herbal Clinic’ ya Bububu Kijichi Muh’d Said Ali akitoa maelezo kuhusu
huduma anazotoa katika kliniki yake baada ya wajumbe kutoka Baraza la
Tiba Asili na Tiba Mbadala kufika katika kliniki yake kufuatilia shutma
za kulaza wagonjwa kitu ambacho kinakatazwa, wa mwanzo (kulia) Mrajis
wa Tiba asili Zanzibar Haji Juma Kundi.
Mrajis wa Tiba asili Zanzibar
Haji Juma Kundi akitembelea maduka mbali mbali ya kuuzia dawa za
asili wakiwa kwenye ukaguzi wa kawaida kuangalia ubora wa dawa na hati
za usajili wa maduka hayo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni