Mwenyekiti
mpya wa Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) tawi la TUMESHERIA Bi. Anjela
Shila akiwashukuru wajumbe wakati wa uchaguzi wa viongozi.
Afisa
Tawala wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Suzana Magoti
akizungumza machache kwa niaba ya uongozi wa Tume wakati wa uchaguzi wa
viongozi wa TUGHE tawi la TUMESHERIA.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika uchaguzi wa viongozi wa TUGHE tawi la TUMESHERIA.
Viongozi
pamoja na Wajumbe wapya wa TUGHE tawi la TUMESHERIA wakiwa katika picha
ya pamoja mara baada ya kufanya uchaguzi, wa kwanza kulia ni
muwakilishi wa TUGHE mkoa Bw. Alquine Masubo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni