Kurasa
Nyumbani
About Us
Mawasiliano
Ijumaa, 19 Desemba 2014
KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA CHADEMA KILICHOKUTANA JB BELMONT JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe kulia akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr. Wilbroad Slaa katikati pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara John Mnyika wakati wa kikao cha Kamati kuu kilichokutana jana kwenye hoteli ya JB Belmonte jijini Dar es salaam na kujadili mambo mbalimbali kuhusu harakati za chama hicho.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe
, Said Issa Mohamed Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Profesa Abdallah Safari wakiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe akizungumza katika kikao hicho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni