Jumanne, 16 Desemba 2014

HATIMAYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AJIUZURU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi lake</p>
<p>- Ni kufuatia kashfa ya Tegeta Escrow</p>
<p>Soma zaidi hapa => http://goo.gl/BeVrbR

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi lake
– Ni kufuatia kashfa ya Tegeta Escrow

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni