Jumatatu, 14 Desemba 2015
LUKUVI AKABIDHIWA OFISI RASMI AAPA KUWAKOMBOA MASIKINI
Waziri wa maendeleo ya nyumba na makazi,William Lukuvi amesema atahakikisha wananchi maskini wanapata haki zao za kumiliki ardhi pamoja na kuwawezesha kuwa na makazi bora ya kuishi na kuwashughulikia wale wote wanaotumika kama mawakala na kudhulumu maeneo yao.
MAZOEZI YA VITENDO WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA AWALI KWA WAHITIMU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI YALIYOFANYIKA CHUO CHA UONGOZI JKT KIMBIJI
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi
ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika
Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)