MWILI WA RPC SINGIDA KUAGWA LEO MUHIMBILI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani ya Simu
“MKUUPOLISI”
Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,
Simu : (022)
2110734
Makao Makuu ya Polisi,
Fax Na. (022)
2135556
S.L.P. 9141,
Unapojibu tafadhali taja: DAR ES SALAAM.
30 /11/2016
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
KUAGWA KWA MWILI WA KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA.
Mnajulishwa kuwa mwili wa Marehemu
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) EX Peter Kakamba, Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Singida, aliyefariki dunia Alfajiri ya Tarehe
30/11/2016 utaagwa leo tarehe 30/11/2016 Saa 11: 00 (Kumi na moja kamili Jioni) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na baadaye utasafirishwa kwenda Mpanda Mkoani Katavi kwa ajili ya Mazishi.
Imetolewa na:
Advera John Bulimba – ACP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.
Makao Makuu ya Polisi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni