Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Mashekhe waBagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha
wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhewa Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya kumuombea dua
katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge waChalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika
kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii yawamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni
Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni