Makanya West

Kurasa

  • Nyumbani
  • About Us
  • Mawasiliano

Ijumaa, 19 Desemba 2014

KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA CHADEMA KILICHOKUTANA JB BELMONT JIJINI DAR

unnamedMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe kulia akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr. Wilbroad Slaa katikati pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara John Mnyika wakati wa kikao cha Kamati kuu kilichokutana jana kwenye hoteli ya JB Belmonte jijini Dar es salaam na kujadili mambo mbalimbali kuhusu harakati za chama hicho. unnamed1Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe, Said Issa Mohamed Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Profesa Abdallah Safari wakiwa katika mkutano huo. unnamed3 
Mmoja wa wajumbe akizungumza katika kikao hicho.
Posted by Unknown at 06:27:00
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

JIKINGE NA KIPINDUPINDU

JIKINGE NA KIPINDUPINDU

EPUKA KIPINDIPINDU

EPUKA KIPINDIPINDU

FUTA DELETE CAMPAIGN

FUTA DELETE CAMPAIGN

Coca Cola

Coca Cola

Wachangiaji

  • Unknown
  • Unknown
  • Unknown

Kumbukumbu la Blogu

  • ►  2017 (2)
    • ►  Julai (2)
  • ►  2016 (1315)
    • ►  Desemba (20)
    • ►  Novemba (27)
    • ►  Oktoba (37)
    • ►  Septemba (92)
    • ►  Agosti (136)
    • ►  Julai (143)
    • ►  Juni (277)
    • ►  Mei (332)
    • ►  Aprili (245)
    • ►  Machi (6)
  • ►  2015 (67)
    • ►  Desemba (2)
    • ►  Novemba (5)
    • ►  Oktoba (6)
    • ►  Septemba (5)
    • ►  Agosti (2)
    • ►  Mei (2)
    • ►  Aprili (10)
    • ►  Machi (20)
    • ►  Februari (12)
    • ►  Januari (3)
  • ▼  2014 (4)
    • ▼  Desemba (4)
      • SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO...
      • KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA CHADEMA ...
      • HATIMAYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AJIUZURU
      • KARIBU KATIKA BLOG HII YA MAKANYA WEST

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT

AIRTEL YATOSHA

AIRTEL YATOSHA

Vodacom Deilee

Vodacom Deilee

LAPF

LAPF
Makanya West

Makanya West

Mandhari ya Dirisha la Picha. Inaendeshwa na Blogger.